Friday, October 26, 2012

Mambukizi ya VVU yapo juu miongoni mwa wananake wafanyao biashara ya ngono Dar


Matokeo ya Kibaiolojia kwa wanawake wanaofanya biashara ya ngono jijini Dar es Salaama yaliyotangazwa juzi na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (NACP) yanabainisha kuwa:-
v Kiwango cha Maambukizi ya VVU ni asilimia 31.4

v Kiwango cha maambukizi ya kaswende ni asilimia 2.0

v Homa ya ini ya virusi vya aina B ilikuwa 6.3%

v Homa ya ini ya virusi vya aina C ilikuwa 3.4%

v Maambukizi ya gonorea ilikuwa 10.5%

v Kiwango cha maambukizi ya pangusa ni 6.3%

1 comments:

Post a Comment