Je Kamati za UKIMWI za kata na tarafa katika wilaya zetu zinafanya kazi kama ilivyokusudiwa?
Ni muhimu kila Mtanzania kuzingatia kuwa serikali imeweka kamati za kushughulikia masuala ya UKIMWI katika ngazi za wilaya hadi kata. Hoja yangu ni kutaka kujua kwamba kamati hizo zinatambulika kwa wananchi na zinafanya kazi yake kama inavyopaswa kuwa?
Nawasilisha. Mwenye hoja, karibu!
Kivamwo, A S
0 comments:
Post a Comment