Thursday, October 25, 2012

Karibu katika vita dhidi ya UKIMWI--Tanzania Bila UKIMWI inawezekana

Zuia UKIMWI Tanzania kwa kuhakikisha yafuatayo:-

-Unyanyapaa=0 ifikapo 2015
-Maambukizi Mapya ya VVU=0 ifikapo 2015
-Vifo vinavyotokana na UKIMWI=0 ifikapo 2015

0 comments:

Post a Comment