Thursday, October 25, 2012

Karibu Tuchangie

Ndugu wasomaji

Blog hii ya Zuia UKIMWI ni yetu sote, kwa hiyo mnakaribishwa kuchangia kwa kuleta habari, matukio na picha--zinazohusiana na kampeni dhidi ya UKIMWI nchini

Asante

Mratibu wa Blog

Kivamwo, A S

0 comments:

Post a Comment