Wednesday, June 12, 2013

Towards zero Stigma: Kuelekea Unyanyapaa Sifuri

Ifike mahali sasa watanzania tuwe katika hali hii ya kuona UKIMWI ni ugonjwa wa kawaida na tuwe huru kubainisha hali zetu bila kuona soo wala nini lakini pia tusiwanyanyapae au kuwashangaa wale wenye VVU --Lengo ni kufikia Unyanyapaa Sifuri ifikapo 2015 au mbele kidogo

Hebu ona kibonzo hiki kama nilivyomwomba rafiki yangu cartoonist Bw. Kabwela Fazili anisadie kuweka mawazo yangu ambayo nayo niliyapata kutoka kwa nguli wa masuala ya UKIMWI nchini Dk. Bennett Fimbo miaka minne iliyopita.

Safi kabisa, hana noma wala nini--kasahau dose yake home anaomba aletewe ofisini--abiria wanamshangaa tu--ebo!!

0 comments:

Post a Comment