Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata
ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na
malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam.
Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki. Kushoto
kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma
Mrisho na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mhe William Lukuvi
|
0 comments:
Post a Comment