Thursday, June 26, 2014

Kampeni ya Linda Goli Lako yaanza Tanzania

Asasi ya Vijana wa Umoja wa Mataifa Tanzania (YUNA) kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa hivi karibuni wametangaza kuanza kwa kampeni ya “Linda Goli Lako” nchini Tanzania.“Linda Goli lako” ni mpango wa kimataifa unaosimamiwa na Mradi wa Pamoja wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa kushughulikia UKIMWI (UNAIDS)...

NACP yaja na Mwongozo wa kuhakiki na kuidhinisha matangazo ya VVU na UKIMWI

Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (NACP), mwishoni mwa wiki, ulizindua mwongozo wa Taifa wa Kupitia na Kuhakiki Nyenzo za habari, elimu na mawasiliano ya kubadili tabia kwa lengo la kuboresha habari na mawasiliano yanayofanywa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na wadau wake kwa lengo la kuthibiti...