
Kamishna wa TACAIDS Sheikh Hassan Kiburwa akipima VVU katika banda la upimaji lililosimamiwa na AMREF wakati wa siku ya familia ya wafanyakasi wa Tume jana
IMEELEZWA kwamba asilimia nane ya wanandoa wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU) ni ile mwenzi mmoja kuwa na maambukizi wakati mwingine...