Wednesday, January 29, 2014

AJAAT yazawadia washindi wa makala za kutokomeza unyanyapaa na kutotengwa kwa WAVIU, makundi maalum

    Yumo Akitanda wa CCK   Baadhi ya washiriki wa shindano wakimsikiliza kwa makini mmoja wa wasahihishaji wa shindano Bw. Benedict Sichalwe kutoka AJAAT. Kushoto kabisa ni Bw. Kivamwo, mwenyekiti wa AJAAT DAR ES SALAAM, Januari 25, 200: WAANDISHI wa habari sita kutoka vyombo...