Saturday, September 28, 2013

Hivi kwanini wanaume tunazidiwa kupima VVU na wanawake?

Viongozi wa TACAIDS walipokutana na wahariri ofisini kwao Kwa mujibu wa TACAIDS, kupima UKIMWI ni mlango wa kwanza wa kufanya maamuzi sahihi ya kujikinga na maambukizo ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) na kuanza kutumia dawa za kupunguza maambukizo kama mpimaji atagundulika keshaambukizwa. Takwimu zifuatazo...

Thursday, September 26, 2013

Vita Dhidi ya UKIMWI nchini: TACAIDS yatoa hali halisi

Mwenyekiti Mtendaji wa TACAIDS Dk.Fatma Mrisho (katikati) akisikiliza swali kutoka kwa mwandishi (hayupo pichani) wakati viongozi wa tume walipokutana na wahariri juzi ili kutoa hali halisi ya UKIMWI nchini NCHI  wanachama wa Umoja wa Mataifa (UwM) (Tanzania ikiwemo) zilikutana jijini New York,...

Friday, September 20, 2013

Melbourne selected to host world’s largest conference on HIV and AIDS 2014

Australia’s strong political, scientific and civil society commitment to ending the HIV epidemic both nationally and throughout the Asia Pacific region among reasons for selection of Melbourne as host for the XX International AIDS Conference (AIDS 2014)Melbourne, Australia has been chosen to host the XX International AIDS Conference (AIDS 2014), the largest international conference on HIV and AIDS, where every two years up to 25,000 participants, representing...