Thursday, March 28, 2013

Tanzania’s HIV prevalence dropped slightly—from 5.7% to 5.1%

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Wednesday, March 27, 2013

MH. KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA UKIMWI NA MALARIA MWAKA 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki. Kushoto...