Viongozi wa TACAIDS walipokutana na wahariri ofisini kwao
Kwa mujibu wa TACAIDS, kupima UKIMWI ni mlango wa kwanza wa kufanya maamuzi sahihi ya kujikinga na maambukizo ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) na kuanza kutumia dawa za kupunguza maambukizo kama mpimaji atagundulika keshaambukizwa. Takwimu zifuatazo...