Saturday, October 27, 2012

Kamati za UKIMWI

Je Kamati za UKIMWI za kata na tarafa katika wilaya zetu zinafanya kazi kama ilivyokusudiwa? Ni muhimu kila Mtanzania kuzingatia kuwa serikali imeweka kamati za kushughulikia masuala ya UKIMWI katika ngazi za wilaya hadi kata. Hoja yangu ni kutaka kujua kwamba kamati hizo zinatambulika kwa wananchi na zinafanya kazi yake kama inavyopaswa kuwa? Nawasilisha. Mwenye hoja, karibu! Kivamwo, A...

Friday, October 26, 2012

HIV prevalence high among female sexual workers in Dar

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Mambukizi ya VVU yapo juu miongoni mwa wananake wafanyao biashara ya ngono Dar

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Thursday, October 25, 2012

Karibu Tuchangie

Ndugu wasomaji Blog hii ya Zuia UKIMWI ni yetu sote, kwa hiyo mnakaribishwa kuchangia kwa kuleta habari, matukio na picha--zinazohusiana na kampeni dhidi ya UKIMWI nchini Asante Mratibu wa Blog Kivamwo, A...

Karibu katika vita dhidi ya UKIMWI--Tanzania Bila UKIMWI inawezekana

Zuia UKIMWI Tanzania kwa kuhakikisha yafuatayo:- -Unyanyapaa=0 ifikapo 2015 -Maambukizi Mapya ya VVU=0 ifikapo 2015 -Vifo vinavyotokana na UKIMWI=0 ifikapo 2...